Moni Centrozone Feat G Nako Read Again (Official Audio) (Official Lyrics)

Moni Centrozone Feat G Nako  Read Again (Official Audio) (Official Lyrics)

Kijana mwenye msuli we ni tone la manii, 
na ukifa ni kazi yake mola ashasemaga madee,

Ndoto unazoota unatamani fullfill

Ila haujipiganii unajicheat , sio real ,

Wengine walipenda shule ila ada ilikuwa  mchongo, 
Na Walioenda Shule Wakadunda Necta kigongo,
Waliofaulu Kuja tu mtaani hamna michongo,
Chawa anaenda km vipofu tajiri chongo


Kupata riziki roho mkononi utashika hadi upinde
Cha kwanza familia bora washibe wewe usile
Wakati unajizuia vingine vya ndani usile, 
Hujui mkeo ni mzoefu kwenda kinyume na maumbile

Ashakum si matusi 
Watu wana hofu kusikia kila nafsi itaonja umauti,

Kwenye maisha unaeza stuck kisa watu unaowapenda 
Hivyo inabidi mtengane ili we ufike unapokwenda

Chorus

Wakipoteana ndo zinaanza lawama
Wakipatia hawafiki maskani bhana
Wachawi wote leo tunawaona mchana
Na na na na na Aweeeeeee Aweeee Aweeee Aweeee Aweee Aweee Aweee Aweee

Verse 2 

Napata madini ya wazee kwenye vibanda vya kahawa,
Kuhusu Doctor Bashiru Na Sabaya kukosa power,
Nawapa Sikio Na Viongozi Wa Dini Wanipe Dawa,
Kuhusu Chanjo Ya Uviko 19 twende Sawa,
We from The Street Ambapo few people are educated,
Kuhusu Social Welfare Tuko Discriminated,
Hakuna ch happy new year wala happy belated,
Ili kufanikiwa ubongo uwe marinated,
Now Mic On Real Is Back , Real Live hot, mafunzo tamathali za semi mazengo On Map, 
Nimechoka Kuwa Nyuma Ya Kivuli Sa Dodoma On Top ,
Yule Kijana Alieokolewa Na Rap He Is So Smart, 
Thats Why Siwez Kuacha Kazi Kisa Dem,
Wakat nikienda kwenye kazi Sikosi Demu,
Kama nikitaka ila Respect kwanza kabla ya Game,
Ndo Niloweka Mbele Na Kuweka Respect On My Name Maaanicaa

No comments:

Post a Comment